SIMBA:TUTASAJILI WACHEZAJI WENYE NJAA YA MAFANIKIO
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi Simba,Salim Abdallah amesema kuwa msimu ujao watafanya usajili mkubwa kwa kuleta wachezaji wenye njaa ya mafanikio. Kwa sasa Simba ipo kwenye mchakato wa kumsaka kocha mpya baada ya Mei 31,2022 kumchimbisha Pablo Franco ambeya alikuwa kwenye benchi la ufundi. Mchezo wake wa mwisho kukaa benchi ilikuwa Mei 28 mbele ya…