BREAKING:RASMI SIMBA YAMFUTA KAZI PABLO FRANCO

LEO Mei 31 Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu Pablo Franco Martin raia wa Hispania. Katika taarifa iliyotolewa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez, imeeleza kuwa katika kipindi chote cha kumalizia msimu, timu itakuwa chini ya kocha msaidizi, Seleman Matola. Taarifa hiyo imeongeza kuwa pia…

Read More

UKIFUNGWA LAZIMA UKUBALI MAISHA YAENDELEE

MWENDO ambao unaendelea kwa sasa kwenye ligi ni lazima kila mmoja aweze kupambania kile ambacho anakitaka kwa kuwa hakuna timu inayokubali kufungwa. Kila mechi inayochezwa imekuwa na ushindani mkubwa na hili ni jambo la muhimu kwa kila mmoja kukubali kile ambacho kinatokea. Ikitokea timu ikafungwa kwa makosa yao basi inapaswa kukubali hali halisi kwamba imepoteza…

Read More

YANGA:TUMEONDOA MATUMAINI YOTE YA SIMBA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba umeondoa matumaini yote ambayo walikuwa nayo watani wao wa jadi Simba kutwaa mataji msimu huu. Simba ilikuwa inatetea taji la Kombe la Shirikisho na kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 mbele ya Yanga. Kwenye upande wa Ligi Kuu…

Read More

PABLO FRANCO KUKUTANA NA MABOSI SIMBA

PABLO Franco,Kocha Mkuu wa Simba anatarajiwa kukutana leo na uongozi wa Simba ili kuweza kuzungumza kuhusu mwendo wake ndani ya kikosi hicho. Kocha huyo baada ya kurithi mikoba ya Didier Gomes malengo yote ambayo alikabidhiwa na timu yameyeyuka jumlajumla jambo linalofanya nafasi yake kuwa kwenye wakati mgumu. Moja ya malengo ilikuwa ni kutetea mataji yaliyokuwa…

Read More

POLISI TANZANIA YAIMALIZA BIASHARA UNITED

POLISI Tanzania wamendeleza kasi ya msako wa pointi tatu baada ya kushinda kwa mabao 2-0 Biashara United. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Ushirika Moshi,Mei 30 uliwafanya mastaa wa Polisi Tanzania kuwa na furaha baada ya ushindi huo. Ni ushindi wa pili mfululizo Polisi Tanzania inashinda baada ya kushinda mbele mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar….

Read More

WINGA MANE ATAJWA KUIBUKIA BAYERN MUNICH

STAA wa Liverpool, Sadio Mane ametangaza kuondoka ndani ya kikosi hicho msimu ujao wa 2023/24 hivyo hatakuwa miongoni mwa wale ambao watashiriki Ligi Kuu England akiwa na timu hiyo. Nyota huyo ambaye ni kiungo raia wa Senegal anatajwa kutua ndani ya kikosi cha Bayern Munich. Nyota huyo alitoa maamuzi yake ya kuondoka ndani ya Liverpool…

Read More

BEKI HUYU AWEKWA RADA ZA YANGA

IMEELEZWA kuwa Klabu ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ipo kwenye hesabu za kuwania saini ya Mustafa Kiza. Nyota huyu ni beki raia wa Ugada hivyo anakuja kuongeza nguvu kwenye upande wa ulinzi ndani ya kikosi hicho. Yanga imekuwa imara kwenye upande wa mabeki msimu huu ikiwa ni timu namba moja iliyofungwa mabao…

Read More

KAPOMBE AWEKWA KANDO TIMU YA TAIFA YA TANZANIA

 BEKI wa Simba, Shomari Kapombe ameondolewa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kinachojiandaa kucheza na Niger na nafasi yake imechukuliwa na Lusajo Mwaikenda wa Azam FC. Kapombe ameondolewa kwenye kikosi cha Stars kutokana na kusumbuliwa na majeraha aliyopata wakati akiwa ndani ya kikosi cha Simba. Nyota huyo aliumia kwenye mchezo wa…

Read More