
MKWAKWANI, COASTAL UNION 0-1SIMBA,MAPUMZIKO
Mapumziko, Uwanja wa Mkwakwani Tanga, Coastal Union 0-1 Simba. Bao la kuongoza kwa Simba limepachikwa na kiungo Bernard Morrison dk ya 40 baada ya beki wa Coastal Union kufanya makosa katika kupiga pasi kwenda mbele. Coastal Union chini ya Kocha Mkuu Juma Mgunda imeweza kuotea mara mbili na wamepiga mashuti matatu ambayo yamelenga lango. Simba…