BIGIRIMANA WA RWANDA AINGIA ANGA ZA YANGA

BIGIRIMANA Obed kiungo wa Klabu ya Kiyovu ya Rwanda anatajwa kuwa kwenye hesabu za Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nai raia wa Tunisia. Hesabu kubwa kwa sasa ndani ya vinara hao wa ligi msimu wa 2021/22 ni kuweza kusuka kikosi makini ambacho kitafanya vizuri kwenye mechi za kimataifa. Kwenye msimamo Yanga ina pointi 51…

Read More

KOCHA NABI AIGOMEA SIMBA,HESABU KWA NAMUNGO

KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi amewapiga mkwara mastaa wake kwa kuwataka kutofikiria mchezo wa Dabi ya Kariakoo na badala yake kuhamisha akili zao dhidi ya Namungo FC. Yanga kabla ya kuvaana dhidi ya Simba Aprili 30, mwaka huu katika Dabi ya Kariakoo  watacheza dhidi ya Namungo Aprili 24, katika mchezo wa ligi kwenye…

Read More

SIMBA YAWEKEZA NGUVU KIMATAIFA,KUHUSU YANGA BADO

UONGOZI wa Simba SC, umesema hivi sasa nguvu zao wamezielekeza katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates, na siyo kwa Yanga SC. Simba hivi sasa wapo kambini wakijiandaa kupambana na Orlando, mchezo wa kwanza utachezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kisha marudiano Aprili 24, Afrika Kusini….

Read More

KIUNGO WA KAZI YANGA MAJANGA,AUMIA MAZOEZINI

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Chico Ushindi, tangu ajiunge na timu hiyo amekuwa akikumbwa na majeraha ya mara kwa mara hali inayomfanya kushindwa kuonesha ubora ambao Wanayanga wana uhitaji. Nyota huyo aliyejiunga na Yanga katika usajili wa dirisha dogo msimu huu akitokea TP Mazembe, majeraha makubwa yanayomsumbua ni kupata maumivu ya nyama za paja. Hivi karibuni,…

Read More

AIR MANULA KATIKA ANGA ZA KIMATAIA KAKIWASHA

HAKUNA anayejua itakuaje sasa kwenye hatua ya robo fainali baada ya Simba kufanikiwa kupenya hasa kwenye upande wa lango nani ataanza kati ya Aishi Manula,Beno Kakolanya ama Ally Salim. Weka kando kuhusu kufikiria nani ataanza lakini chaguo namba moja ni Manula ambaye amekuwa kwenye mwendelezo bora awapo langoni. Hapa tunakuletea namna nyota huyo alivyotimiza majukumu…

Read More

CITY YATINGA NUSU FAINALI UEFA CHAMPIONS LEAGUE

MANCHESTER City inayonolewa na Kocha Mkuu,Pep Guardiola inatinga hatua ya nusu fainali baada ya kulazimisha sare ya bila kufungana mbele ya Atletico Madrid. City inakata tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali ya UEFA Champions League ikiwa katika Uwanja wa Wanda Metropolitan kwa jumla ya bao 1-0 . Manchester City beki wao John Stones amesema…

Read More

YANGA:TUNAZITAKA POINTI TATU ZA SIMBA

HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa nguvu kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wao wa watani wa jadi dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Aprili 30,Uwanja wa Mkapa. Mchezo huo utakuwa ni wa mzunguko wa pili baada ya ule wa mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 0-0 Yanga. Bumbuli…

Read More

ALLIANCE FC KUANZA NA NJOMBE MJI 8 BORA

WAKATI kesho Ijumaa michuano ya fainali ya Ligi Daraja la Kwanza hatua ya nane bora ikitarajia kuanza kwenye Uwanja wa Nyamagana, Mwanza, Kocha Mkuu wa Alliance FC, Ibrahim Makeresa amesema kikosi chake kipo tayari kwa kazi. Kocha huyo amesema kuwa kila mchezaji yupo tayari kwa ajili ya kupata matokeo kwenye mechi za hatua ya 8…

Read More