
ADAMA AREJEA NYUMBANI KWA MARA NYINGINE
NYOTA wa Wolves, Adama Traore amejiunga na Barcelona kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu huu kuitumikia timu hiyo. Nyota huyo alikuwa amewekwa kwenye hesabu na Kocha Mkuu wa Spurs, Antonio Conte hivyo kuibuka kwake ndani ya Barcelona maana yake ni kwamba imekula kwake sasa. Conte aliweka wazi kwamba anataka kuboresha kikosi chake lakini Spurs inaingia…