POLISI TANZANIA KUKIPIGA NA YANGA ARUSHA JUMAPILI
UONGOZI wa timu ya soka ya Polisi Tanzania FC umethibitisha kupeleka mchezo wao dhidi ya Yanga SC katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha baada ya uwanja wao wa Ushirika uliopo mjini Moshi kuwa na matumizi mengine. Mchezo huo ulipangwa kupigwa Jumapili katika uwanja wa Ushirika lakini siku moja kabla ya mchezo yani…