>

VIDEO:MASTAA YANGA WALEJEA DAR,SIMBA WAWAPOKEA

MASTAA wa Yanga ambao walikuwa wanashiriki Kombe la Mapinduzi pamoja na viongozi leo Januari 11 wamerejea Dar wakitokeza Zanzibar ambapo walikuwa na kazi ya kutetea Kombe la Mapinudzi ila walivuliwa na Azam FC baada ya kupoteza kwenye changamoto ya penalti. Baada ya dakika 90 kwenye mchezo huo ubao wa Uwanja wa Amaan ulisoma Azam FC…

Read More

SAKHO ACHEKELEA KUTINGA FAINALI

PAPE Sakho, kiungo mshambuliaji ndani ya kikosi cha Simba amesema kuwa kwake ni furaha kuona timu hiyo inatinga hatua ya fainali ya Kombe la Mapinduzi. Jana Januari 10, Sakho alikuwa ni miongoni mwa nyota walioanza kikosi cha kwanza mbele ya Namungo FC kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya pili. Simba ilishinda mabao 2-0…

Read More

MASTAA YANGA WAREJEA DAR WAKITOKEA ZANZIBAR

BAADA ya kuvuliwa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi jana Januari, 10,2022 leo wamewasili Dar wakitokea Zanzibar. Yanga iliyokuwa inatetea Kombe la Mapinduzi iliishia hatua ya nusu fainali ambapo ilipoteza kwa changamoto ya penalti dhidi ya Azam FC. Dakika 90 zilikamilika kwa timu kutoshana nguvu bila kufungana ugumu ukawa kwenye penalti ambapo Azam ilishinda penalti 9-8…

Read More

KIUNGO DENNIS NKANE AWEKWA CHINI YA UANGALIZI

KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga, Denis Nkane ni kama ameanza vibaya ndani ya timu hiyo baadaya mapema tu kupata uvimbe juu ya goti la kulia na kumfanya kuwa nje ya uwanja kwa muda, huku akiwekwa chini ya uangalizi maalum wa daktari. Nkane ni kati ya wachezaji  wanne waliosajiliwa na kutambulishwa ndani ya Yanga katika usajili huu wa dirishadogo uliofunguliwa Desemba 16, 2021 na kutarajiwa kufungwa Jumamosi hii. Wachezaji…

Read More

MFUNGAJI BORA KOMBE LA MAPINDUZI HAYUPO

JANUARI 11,2021 kiungo Miraj Athuman, ‘Sheva’ akiwa ndani ya Simba alifunga bao lake la nne katika Kombe la Mapinduzi. Kwenye mchezo huo Simba ilishinda mabao 2-1 na Sheva aliibuka kuwa mfungaji bora. Mwaka 2022 atakuwa kwa kideo akishuhudia tuzo yake ikisepa kwa kuwa kwa sasa anakipiga KMC kwa kuwa hayupo katika mashindano hayo mwaka huu…

Read More

AZAM FC WABABE MBELE YA SIMBA

REKODI zinaonyesha kwamba Azam FC wametwaa Kombe la Mapinduzi mara nyingi kuliko mpinzani wake Simba. Hivyo Azam FC ni wababe mbele ya Simba kwenye Kombe la Mapinduzi kila wanapokutana kwenye mchezo wa fainali. Azam FC imetwaa taji la Kombe la Mapinduzi mara tano huku Simba ikiwa imetwaa Kombe la Mapinduzi mara tatu. Hii inakuwa ni…

Read More