OFISA HABARI MPYA WA SIMBA AWASHUKURU MASHABIKI

OFISA Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amewashukuru mashabiki wa klabu hiyo kwa mapokezi mazuri waliomuonyesha mara baada ya kutangazwa kuitumikia klabu hiyo jana, Jumatatu, Desemba 4, 2022. Kupitia akaunti yake ya Instagram, Ahmed Ally ameandika; “Msemaji wa Mabingwa nimeamka salama.Kwa nafasi ambayo nimepewa nasema asante na nimefurahi kuwa hapa kwa kuwa ilikuwa ni ndoto yangu….

Read More

NYOTA YANGA ATAKA PASI 15 ZA MABAO

BEKI wa kulia wa Yanga, Djuma Shabani, amefunguka moja ya malengo yake ni kuhakikisha anatoa pasi nyingi za mabao kuanzia 15 msimu huu ambazo zitawasaidia washambuliaji wa timu hiyo kufunga mabao mengi zaidi. Msimu huu ukiwa ni wa kwanza kwa beki huyo, tayari amefanikiwa kutoa asisti tatu ambapo mbili ni katika Kombe la Shirikisho la Azam, huku moja ndani ya Ligi Kuu Bara na kufunga bao moja. Djuma amesema: “Ni furaha kutoa…

Read More

SARAH WA HARMONIZE ATOKELEZEA NA JEZI YA SIMBA

Aliyekuwa mke wa Harmonize @harmonize_tz , @sarah__tz ametokea katika picha zinazoonyesha jezi mpya za Simba ambazo wamezitambulisha Jumatatu, Januari 3, 2022. Sarah ambaye hivi karibuni alionekana kuwa na mmoja wa mameneja wa @diamondplatnumz , @sallam_sk , ametokelezea katika picha hizo akiwa modo wanaotangaza ujio wa jezi ambazo zitatumiwa na Simba katika Kombe la Shirikisho Afrika…

Read More

AUBA AINGIA ANGA ZA NEWCASTLE UNITED

KLABU ya Newcastle United wametuma maombi kwenda Arsenal ili kuipata saini ya mshambuliaji wa klabu hiyo, Pierre-Emerick Aubameyang, 32, katika dirisha hili. Mshambuliaji huyo ambaye huenda asionekane tena uwanjani akiwa na jezi ya Arsenal amekuwa hayupo kwenye kiwango bora tangu msimu huu uanze na katika siku za hivi karibuni amevuliwa unahodha kutokana na vitendo vyake…

Read More

YANGA ANAYOITENGENEZA KOCHA NABI NI BALAA!

  KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi katika ripoti yake ameagiza kila nafasi ya mchezaji wa kigeni lazima awepo mbadala wake mzawa mwenye uwezo mkubwa kama wake. Yanga tayari imefanikisha usajili wa wachezaji watatu wazawa katika usajili wao wa dirisha dogo lililofunguliwa Desemba 16, mwaka huu ambao unaendelea. Wachezaji hao wapya waliosajiliwa ni Salum…

Read More

DEUS KASEKE ATAJWA KUSEPA YANGA

IMEELEZWA kuwa kiungo wa mpira mali ya Yanga, Deus Kaseke yupo mbioni kusepa ndani ya kikosi hicho ili akapate changamoto mpya katika timu nyingine. Mtibwa Sugar inapewa nafasi kuweza kupata saini ya kiungo huyo ambaye kwa sasa hana nafasi kikosi cha kwanza cha Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Leo Januari 4 Yanga inatarajiwa kuibukia Zanzibar kwa…

Read More

JEMBE JIPYA SIMBA LAANZA MAZOEZI RASMI

NYOTA Sharaff Shiboub tayari ameanza mazoezi rasmi na Klabu ya Simba kwa ajili ya kuweza kumpa nafasi Kocha Mkuu, Pablo Franco kuweza kumfanyia mchujo kama atamfaa. Ikumbukwe kwamba Shiboub aliwahi kucheza Simba msimu wa 2019/20 ambapo Simba iliweza kutwaa taji la Ligi Kuu Bara na Ngao ya Jamii pamoja na Kombe la Shirikisho. Anakumbukwa kwa…

Read More