
BOSI YANGA AFUNGUKA WALIVYOMNASA SURE BOY
RASMI Azam FC imekubali kumuachia kiungo wake, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ na sasa yupo huru kujiunga na Yanga katika usajili huu wa dirisha dogo. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu kiungo huyo awasilishe ombi la kuvunja mkataba huo mara baada ya kusimamishwa na viongozi wa Azam. Sure Boy alisimamishwa pamoja na wachezaji wenzake wawili, Mudathiri…