
SIMBA: KUCHEZA NA YANGA KAMA TIMU YA DARAJA LA KWANZA
KUELEKEA katika mchezo wa Derby ya Kariakoo, Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu, amefunguka kuwa kwa namna alivyowatazama Yanga, anaamini Simba itaibuka na ushindi wa mapema. Kesho Desemba 11,2021 Simba itakuwamwenyeji wa Yanga, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara katika Uwanja wa Mkapa, Dar. Mangungu alisema kwenye mchezo wa kesho timu hiyoinaingia uwanjani kucheza mchezo wa ligi bila hofu kwani hawaitambui Yanga tena kama wapinzani wao hivyo wanaenda kucheza na timu kama zile za daraja la…