
BREAKING:ORODHA YA WAAMUZI WA SIMBA V YANGA HII HAPA
Orodha ya waamuzi wa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba v Yanga, Desemba 11.
Orodha ya waamuzi wa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba v Yanga, Desemba 11.
MBEYA City leo imeichapa mabao 2-0 Dodoma Jiji kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Ni mabao ya Hussein Masalanga dakika ya 42 liliweza kuwafanya Dodoma Jiji kuduwaa kwa muda wakiwa hawajaweza kufunga bao la kuweka mzani sawa. Dakika 45 za kipindi cha pili huko mambo yalizidi kuwa magumu kwa Dodoma…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wapinzani wao,(Simba) ni timu pekee ambayo imefungwa mabao mengi na Yanga jambo ambalo haliwapi presha kuelekea mchezo wao. Desemba 11, Yanga itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco. Manara ameliambia Championi Jumatatu kuwa ukitafuta timu ambayo imefungwa mabao…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ulikaa kikao na Kocha Mkuu, Pablo Franco kujadili malengo ya timu hiyo ikiwa ni pamoja na kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara Kocha huyo jana Desemba 5 likiongoza kikosi hicho ugenini kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Red Arrows na aliweza kuipeleka timu hiyo hatua ya makundi….
MALENGO yanahitaji nguvu kuyafikia lakini ni lazima na akili pia itumike kwani ikiwa itatumika nguvu nyingi hasara huwa ni kubwa kuliko faida. Kwa sasa Ligi Kuu Bara baada ya kuanza kuridima tumeanza kushuhudia vitendo vya matumizi ya nguvu nyingi uwanjani jambo ambalo limekuwa likiwafanya wachezaji wengine kushindwa kuendelea na majukumu yao. Haina maana kwamba nguvu…
ISHU ya tuzo ya Ballon d’Or imezua sura mpya ambapo kwa sasa inaelezwa kuwa Robert Lewandowski anaweza kupewa tuzo yake ambayo alikuwa anastahili. Wachambuzi wengi wa masuala ya michezo duniani walikuwa wakihoji kwa nini tuzo hiyo mwaka 2021 iende kwa Lionel Messi licha ya mafanikio makubwa ambayo alipitia Lewandowski. Lewandowski aliweza kufunga jumla ya mabao…
WAKATI Desemba 9,2021 huu Azam FC ikitarajiwa kuwa mwenyeji wa Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex Dar,nyota wa kikosi hicho kwenye upande wa utupiaji ameweka wazi kuwa wanahitaji pointi tatu muhimu. Idriss Mbombo,yeye ni mshambuliaji amesema amejipanga kuwamaliza Kagera Sugar kwenye mchezo huo ili kuipa timu yake alama…
Mashabiki wa Manchester United bado wanatamba kitaa kwa ushindi ambao wameupata katika mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Crystal Palace. Ushindi wa bao 1-0 unawafanya watambe kwa fujo baada ya kusepa na pointi tatu muhimu Uwanja wa Old Trafford. Bao pekee la ushindi lilipachikwa dakika ya 77 kupitia kwa Fred na kuilaza jumlajumla Crystal…
VINARA wa Ligi Kuu Bara, Yanga walimaliza wiki kwa bata kabla ya leo kuanza kuivutia kasi Simba. Timu hiyi ambayo imekuwa katika mwendo kasi ipo na pointi zake 19 baada ya kucheza mechi 7, imeshinda sita na kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Namungo FC. Desemba 5 wakati Simba ilipokuwa na kibarua cha…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu