
KUFURU TUPU KOCHA SIMBA,NABI AVUNJA KIKOSI YANGA,NI CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Novemba 7 kimeendelea na mazoezi kwa ajili ya mechi za kimataifa za kufuzu Kombe la Dunia. Mchezo ujao kwa Stars ni dhidi ya DR Congo ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa unasubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki wa soka Bongo. Utachezwa Novemba 11,2021, Uwanja wa…
RAMADHAN Nswazurimo, Kocha Mkuu wa Klabu ya DTB amesema kuwa wachezaji wake waliamini wameshinda kwenye mchezo wa leo dhidi ya Ken Gold jambo lililowafanya wapate tabu ndani ya dakika 90. Mchezo wa leo wa Championship uliochezwa Uwanja wa Uhuru ulikuwa na ushindani mkubwa na timu zote zilikuwa zikishambuliana kwa zamu. Mwisho wa siku ushindi…
MEDDIE Kagere ndani ya kikosi cha Simba kwa msimu wa 2021/22 ameshindikana kwa kuwa ni kinara wa mabao akiwa nayo mawili na amefunga yote akitokea benchi na kumfanya afikishe jumla ya mabao 60 ndani ya Ligi Kuu Bara tangu aanze kucheza Bongo. Kagere aliyeibuka ndani ya Simba msimu wa 2018/19, bao lake la kwanza kwa msimu wa 2021/22 alipachika mbele ya Dodoma Jiji akitumia pasi ya mshikaji wake Chris Mugalu na alifunga akitoka…
MKURUGENZI wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo ametoa ufafanuzi kuhusu baadhi ya vilabu vya soka nchini kubadili nembo za wadhamini kwenye jezi zao. Nembo ya mdhamini wa Ligi Kuu Bara NBC ina rangi nyekundu jambo ambalo halikubaliki kwa Yanga kwa mujibu wa katiba yao jambo ambalo limepelekea wao kubadilishiwa nembo na kuvaa twiga mwenye rangi…
Real Madrid imetajwa kuwa ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya nyota wa Chelsea, Antonio Rudiger ambaye ni beki wa kati. Ikiwa dili lake litajibu basi mkwanja ambao atalipwa kwa wiki itakuwa ni pauni 200,000 na ni itakuwa kwa wiki jambo ambalo linaongeza urahisi katika kukamilisha dili hilo. Madrid ipo tayari kuwauza wachezaji wake…
MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Klabu ya YANGA, Eng Hersi Said amesema amepata tetesi za viongozi wa klabu ya Simba hivi karibuni kuonekana mara kadhaa nyumbani kwa wazazi wa beki kinda wa Yanga Kibwana Shomari. “Ninazo taarifa hizo kupitia mchezaji mwenyewe na watu wangu wa karibu kuhusu ziara zenye nia ya kumshawishi…
Muonekano wa gazeti la Spoti Xtra Jumapili lipo mtaani nakala yake ni 500.
Ni mchezo wa kasino ulionakshiwa kwa ubora mkubwa ambao unajaza mifuko ya wachezaji kwa ushindi, bonasi na jakipoti! Hii hapa kutoka Studio za Expanse. Katika kuongeza burudani kwa wapenzi wa michezo ya roulette kote duniani, burudika na mchezo ulioboreshwa zaidi wa European roulette – Titan Roulette Deluxe! Mchezo huu umeboreshwa kwenye utendaji kazi, muonekano wa…
KLABU ya Simba leo Novemba 6 imemtangaza rasmi Pablo Franco mwenye miaka 41 kuwa mrithi wa mikoba ya Didier Gomes ambaye alibwaga manyanga kutokana na timu hiyo kutolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Franco ni raia wa Hispania anachukua mikoba ya Gomes ambaye ni raia wa Ufaransa na alisitisha mkataba wake kwa makubaliano ya pande…
KLABU ya Yanga imepigwa faini ya shilingi laki tano kwa kosa la kuwakilishwa na maofisa wanne badala ya watano katika kikao cha maandalizi ya mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Mkapa. Mkutano huo kwa mujibu wa taarifa imeeleza kuwa ulifanyika Novemba 2, Uwanja wa Mkapa. Adhabu hiyo imetolewa kwa kwa uzingativu wa kanuni ya 17,(2) na…
BEKI wa Simba, Henoc Baka amefungiwa mechi tatu kwa kosa la kumpiga kichwa mchezaji wa Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Kutokana na kitendo hicho beki huyo alionyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja na kumfanya akose mchezo wa Simba uliofuata dhidi ya Namungo FC. Mbali na adhabu ya…
KLABU ya Manchester United imekubali kupokea kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Old Trafford. Bao la kujifunga la nyota wao Eric Bailly dakika ya 7 liliwapotezea umakini United ambao waliruhusu kufungwa bao la pili ilikuwa dakika ya 45 kupitia kwa nyota Bernardo Silva na…
KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Hitimana Thierry, amefunguka kuwa kasi waliyoanza nayo wapinzani wao, Yanga na mabao wanayofunga, imekuwa ikiwaongezea presha kubwa ya kuhakikisha wanapata matokeo katika mechi zao.Simba imepoteza pointi nne katika mechi tano ilizocheza, ikiwa imeshinda tatu na sare mbili. Ilianza kwa suluhu dhidi ya Biashara United kabla ya kuifunga Dodoma Jiji bao 1-0, kisha ikaifunga Polisi Tanzania bao 1-0, halafu ikasuluhu na Coastal Union kabla ya kuichapa Namungo…
NI moja ya Uwanja mkubwa Afrika Mashariki na kati na una mitambo ya kisasa ambayo inamwaga maji kwenye nyasi asili ikiwa ni kama mbele vile hali halisi ipo namna hii .
MASHABIKI wa Simba furaha yao inabebwa na ushindi kwa namna yoyote ile licha ya kuwa kwenye mwendo wa maumivu ya kutolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Hili hapa ni shangwe lao cheki namna ilivyo:-
BAADA ya Yanga kujikusanyia pointi 15 katika michezo mitano ya kwanza ya Ligi Kuu Bara msimu huu, kocha mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi amewataka mashabiki wao wasiwe na hofu kwani huu ni mwanzo tu, mazuri zaidi yanakuja. Yanga imekuwa kwenye kiwango bora msimu huu ambapo imefanikiwa kuweka rekodi ya kushinda mechi tano za mwanzo kwenye Ligi Kuu Bara kitu ambacho timu zingine zimeshindwa kufanya. Akizungumza na Spoti Xtra, Nabi alifichua kwamba, alitumia muda mrefu kuitengeza…