MTIHANI WA KWANZA WA XAVI NI DABI
XAVI Hernandez kwa sasa ni kocha mpya wa kikosi cha Barcelona na mtihani wake wa kwanza unatarajiwa kuwa dhidi ya Espanyol kwenye Barcelona Dabi itakayochezwa Camp Nou. Dili lake ni mpaka mwaka 2024 Juni 30 ambapo ana kibarua cha kurejesha makali kwenye timu hiyo inayofuatiliwa na watu wengi duniani. Xavi ni mkongwe wa Klabu ya…