SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU KAGOMA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa upo bega kwa bega na mchezaji wao Yusuph Kagoma na unatamba naye kwa kuwa anasifa zote za kuwa katika kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Mechi mbili za Ligi Kuu Bara Fadlu ameongoza na kuhushudia kikosi hicho kikipata ushindi kwenye mchezo dhidi ya Tabora United kwa mabao…