
AZAM FC WAIPIGIA HESABU APR KIMATAIFA
YUSUPH Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC ameweka wazi kuwa wana uwezo wakupata matokeo ugenini dhidi ya APR katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kutokana na uimara wa kikosi Chao. Katika mchezo wa awali uliochezwa Uwanja wa Azam Complex baada ya dakika 90 ubao ulisoma Azam FC 1-0 APR. Ni dakika ya 55 nyota…