
AZAM FC YAVUNJA BENCHI ZIMA LA UFUNDI
RASMI ungozi wa Azam FC umefikia makubaliano ya kuvunja benchi la ufundi lililokuwa chini ya Kocha Mkuu, Yusuph Dabo raia wa Senegal. Taarifa iliyotolewa na Azam FC mapema Septemba 3 2024 imeeleza kuwa Bodi ya Wakurugenzi ya Azam FC na kocha Youssouph Dabo wamefikia makubaliano ya pande mbili ya kutoendelea kufanya kazi pamoja kuanzia Septemba…