HT: MATOKEO YA MECHI 8 LIGI KUU BONGO

MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Bara unaendelea ambapo leo zinachezwa mechi 8 zinarushwa live pia Azam TV. Haya hapa matokeo ya mechi hizo dakika 45 za mwanzo namna hii pamoja na sehemu inayorushwa na Azam TV:- Simba 1-0 KMC LIVE inarushwa AzamSports2HD. Azam 0-0 Kagera Sugar LIVE   AzamSports3HD Singida 2-0 Geita Gold LIVE Sinema…

Read More

SIMBA KAMILI KUWAVAA WAARABU KIMATAIFA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa Simba wameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wao wa hatua ya makundi dhidi ya wapinzani wao SC Sfaxine utakaopigwa nchini Tunisia. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo waliokutana Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 Simba walishinda kwa mabao 2-1 na mtupiaji alikuwa mkandaji Kibu Dennis ambaye yupo…

Read More

MAPUMZIKO:SIMBA 1-0 ST GEORGE

UWANJA wa Mkapa, mchezo wa kirafiki ni mapumziko, Simba 1-0 Saint George SC mtupiaji ni Kibu Denis. Mzawa huyo ametupia bao hilo kwa shuti kali akitumia mguu wake wa kulia lililomshinda mlinda mlango wa St.George. Leo ni kielel cha Simba Day ambapo kuna burudani zinaendelea Uwanja wa Mkapa. Pia mastaa wa Simba ikiwa ni pamoja…

Read More

Sasa Ni Wakati Wa Sloti Kutoa Mamilionea Ndani Ya Meridianbet

Kwa muda mrefu sloti zimekuwa zikionekana kama burudani ya haraka, unacheza, unasubiri matokeo. Lakini Meridianbet sasa inaandika upya simulizi hilo kwa kumleta Kalamba Games, wabunifu wanaoamini kuwa sloti si mchezo tu, bali ni uzoefu unaomshirikisha mchezaji moja kwa moja. Kalamba Games wamejikita kwenye kumweka mchezaji katikati ya kila kitu. Kuanzia muonekano, sauti, hadi mpangilio wa…

Read More

YANGA KUWAFUATA NAMUNGO LEO

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara leo Jumatano, Novemba 17 wanatarajia kusepa Dar kuelekea Lindi kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC. Vinara hao wa ligi wakiwa nafasi ya kwanza na pointi 15 Novemba 20 watatatupa kete yao ya sita kwa kusaka ushindi mbele ya Namungo itakuwa Uwanja wa…

Read More

AZIZ KI MASTA ANA BALAA HUYO TATU BORA

AZIZ KI kiungo wa Yanga ni kiboko yao kwa makipa wote namba moja ndani ya timu zilizo tatu bora kwa kuwa kawatungua kwenye mechi za ligi walipokutana. Nyota huyo katupia jumla ya mabao saba kibindoni akiwa na pasi moja ya bao kwa msimu wa 2023/24 ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Kwenye…

Read More

MUDHATHIR MCHEZO WAKE WA KWANZA KATEMBEZA MIKATO

ALIWATEMBEZEA mikato Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Januari 16,2023 mpaka mwamuzi akaonekana kumwambia hili ni onyo la mwisho ukizingua adhabu inakuhusu. Ni Mudhathir Yahya kwenye kiwango kizuri dhidi ya Ihefu ambao walikuwa wanajilinda muda wote na mwisho wakapoteza kwa kufungwa bao 1-0 ambalo lilifungwa na Fiston Mayele. Kiungo huyo mkabaji alikuwa akicheza kwa…

Read More

YANGA WAFANYA HAFLA NA MATAJI YAO,WAREJEA DAR

UONGOZI wa Yanga chini ya Rais Eng Hersi Said, Benchi la ufundi na wachezaji leo Januari 7 2023 wamemtembelea Mama Fatma Karume pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wadhamini na kuwakabidhi makombe manne waliyoshinda mwaka 2022. Hafla hiyo imefanyika nyumbani kwa Mama Fatma Karume, maeneo ya Maisara, Zanzibar 2023. Kikosi cha Yanga kilikuwa Zanzibar kwa…

Read More

ONYANGO,WAWA HAWAWATISHI PRISONS

JEREMIA Juma, nyota wa kikosi cha Tanzania Prisons amesema kuwa hana mashaka na mchezo wa leo dhidi ya Simba yenye mabeki wakongwe ikiwa ni pamoja na Henock Inonga, Pascal Wawa na Joash Onyango. Juma ni mshambuliaji pekee ambaye amefunga hat trick kwenye ligi msimu wa 2021/22 na aliwatungua Namungo FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa…

Read More