SIMBA YATAJA TIMU ITAKAYOTWAA UBINGWA

KOCHA wa Simba, Pablo Franco amesema kuwa kwa upande wako anaona Azam FC wanayo nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa kwa siku za mbeleni kutokana na kikosi chao kuimarika kila siku. Pablo amesema amekutana na Azam FC kwenye mechi mbili kwa siku za hivi karibuni na ameona kuna utofauti mkubwa kwenye mechi ya kwanza na ya pili ambayo wamecheza na anaona kabisa timu ina ari ya…

Read More

VIGOGO WA KARIAKOO WAMEDUWAZWA MJINI

UONGOZI wa Dodoma Jiji umeweka wazi kuwa umetibua mipango ya vigogo wa Kariakoo ikiwa ni pamoja na Simba na Yanga zilizokuwa zinaiwinda saini ya Mtenje Albano. Vigogo hao wameduwazwa kwa kushuhudia saini ya nyota Albano ikiwa ndani ya Dodoma Jiji kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24. Rasmi ni mchezaji halali wa Dodoma…

Read More

Kamilisha Ndoto Zako na Super Heli Kasino

Hapo mwanzo baada ya kuutambulisha mchezo wa Super Heli ambao namba moja pendwa kwa michezo ya kasino ya mtandaoni, wengi walikuwa wanauchukulia poa poa tu lakini leo nataka nikujuze usichokifahamu kingine kwenye mchezo huu. Pale Meridianbet kuna michezo mingi sana ya kasino, kuna Aviator, Poker, Roulette nk lakini huu umekuwa gumzo kwa wachezaji wote walioweka…

Read More

MINZIRO:TUTAKUWA NA MOTO KIMATAIFA

FELIX Minziro, Kocha Mkuu wa Geita Gold ameweka wazi kuwa kasi ya vijana wake kimataifa na kwenye ligi kwa msimu ujao wa 2022/23 itakuwa ni moto wa kuotea mbali. Geita Gold msimu ujao itashiriki michuano ya kimataifa katika Kombe la Shirikisho baada ya kumaliza ligi ikiwa nafasi ya nne kwenye msimamo na pointi 46.  Minziro…

Read More

ANSU ANAAMINI HAWEZI KUMFIKIA MESSI

KINDA wa Barcelona, Ansu Fati amesema kuwa alipata ofa nyingi sana lakini akaamua kubaki Barcelona na wala hana wasiwasi kuvaa jezi ya Lionel Messi. Fati alikubali kusaini mkataba mpya wa miaka sita na Barcelona na sasa dau lake la usajili ni Euro bilioni moja jambo ambalo linaonekana kuishtua dunia.   Kinda huyo ambaye anatajwa kuwa…

Read More

SIMBA KUKIPIGA JUMATANO LIGI KUU BARA

BAADA ya kupata ushindi kwenye mchezo uliopita dhidi ya Mashujaa FC katika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma kituo kinachofuata kwa Simba ni Jumatano dhidi ya KMC. Katika mchezo huo Simba ilipata bao la jioni kupitia kwa mshambuliaji Steven Mukwala ambaye alitumia pasi ya Awesu Awesu katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa na bao lilifungwa…

Read More

Yanga Yatikisa Afrika, Wachezaji 12 Waitwa Timu Za Taifa

Yanga imeendelea kuthibitisha ukubwa wake barani Afrika baada ya wachezaji wake 12 kuitwa kuziwakilisha timu zao mbalimbali za taifa. Hali hiyo inaonyesha ubora wa kikosi cha Wananchi pamoja na uwekezaji mkubwa uliofanywa na uongozi katika kusajili nyota wa kiwango cha kimataifa. Wachezaji hao wameitwa kujiunga na vikosi vya mataifa yao kwa ajili ya michezo ya…

Read More

ZAIDI YA MIL 400 ZINAKUSUBIRI WEWE, CHEZA NA USHINDE EXPANSE TOURNAMENT KASINO

Kila siku mapambanao ya utafuutaji lazima yaendelee, na siku zote mtafutaji hachoki, kupitia Meridianbet kasino ya mtandaoni kuna promosheni ya Tsh Milion 400,000,000/= kwaajili yako wewe, mpenzi w michezo ya kasino, Expanse Tournament ni yako kwa ushindi mkubwa. Jisajili na Cheza Meridianbet Kasino. Katika promosheni hii unapokuwa unacheza mchezo wako pendwa wowote ule uliotengenezwa na…

Read More

YANGA WAREJEA BONGO KUTOKA ZANZIBAR

BAADA ya kukamilisha kambi ya muda Zanzibar kwa ajili ye kujiweka sawa kwa mechi za Ligi Kuu Bara leo Novemba 13 kikosi cha Yanga kimerejea Dar. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ilikuwa Zanzibar na imecheza mechi mbili za kirafiki. Mchezo wa kwanza ulikuwa dhidi ya Mlandege FC na ule wa pili ulikuwa dhidi…

Read More