NYOTA HAWA WA SIMBA KUIKOSA MECHI YA KIMATAIFA KWA MKAPA

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco Martín amesema kuwa Katika mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) dhidi ya ASEC Mimosas watawakosa nyota wao watano kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo majeruhi. Wachezaji hao ni mshambuliaji Chris Mugalu  ambaye amevunjika mkono hivyo hatahusika katika mchezo huo, Kibu Denis  ambaye anatarajiwa kuanza mazoezi mepesi. Pia…

Read More

YANGA SC KAMILI KUIKABILI JKT TANZANIA MEI 18 2025

Khalid Aucho amerejea uwanja wa mazoezi kamili kwa kazi kuwakabili JKT Tanzania. Yanga SC ni mabingwa watetezi wa taji hilo Pacome kiungo wa kazi anatarajiwa kuwa miongoni mwa watakaotoa burudani, Mkwakwani Tanga YANGA SC chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi ipo kamili kuwakabili wapinzani wake kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali dhidi ya JKT…

Read More

BILIONEA AMUITA CHAMA DAR FASTA

RAIS wa Heshima ambaye pia Mwekezaji wa Simba, Bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’ amebadili maamuzi na haraka amemuita kiungo wao mshambuliaji, Mzambia Clatous Chama Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo kuongeza mkataba mpya kuendelea kubakia hapo. Awali ilielezwa kuwa Mo aliwagomea baadhi ya Viongozi wa Bodi ya Klabu hiyo kumuongezea mkataba kiungo huyo kutokana…

Read More

SALEH JEMBE AMSHUSHA VYEO CHAMA – ”HAKUNA FREE KICK KALI PALE – MPIRA ULIKUWA UNATOKA”…

Mchambuzi mkongwe wa soka nchini Saleh Jembe, amefunguka kupitia Global TV, ameonyeshwa kutopendezwa na maamuzi mabovu yaliyofanywa na mwamuzi Ramadhani Kayoko, katika mchezo kati ya Simba na Yanga jumamosi iliyopita, akikiri kuwa Kwa mwamuzi wa viwango vya FIFA kama Kayoko haipendezi kufanya Maamuzi kama aliyoyafanya. Jembe amezungumza hayo alipokuwa akifanya mahojiano na Global TV, ambapo…

Read More

YANGA KILA KITU NI BYUTIBYUTI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kuelekea Wiki ya Mwananchi,Agosti 6,2022 kila kitu Byuti Byuti kama ilivyo slogan yao kwa mwaka huu. Makamu wa Rais Young Africans SC na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Wiki ya Mwananchi,Arafat Haji amesema kuwa maandalizi yapo vizuri na kila kitu kinakwenda sawa. “Agosti 6 ndiyo siku pekee ambayo…

Read More

RATIBA YA LIGI KUU BARA HII HAPA

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa kwanza msimu wa 2024/25 ambapo kila timu zipo tayari kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Vinara ni Singida Black Stars baada ya kucheza mechi nne wamekomba pointi zote 12 huku nafasi ya pili ikiwa ni Fountain Gate yenye pointi 10, Ken Gold ambayo itakuwa kazini leo…

Read More

ROBERTINHO: SAIDO KARUDI, RAJA HAWATOKI

KOCHA wa Simba, Mbrazil Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefunguka kuwa, watakuja kuzifunga timu zote kwenye Uwanja wa Mkapa wakianza na Raja Casablanca kwa kuwa wachezaji wake muhimu akiwemo Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ watakuwa fiti. Robertinho ameweka wazi kuwa, kilichowafanya wafungwe kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya wakiwa ugenini ni kukosa bahati…

Read More

SIMBA YAFUZU HATUA YA MAKUNDI, DILUNGA ATUPIA

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franc leo Desemba 5 kimefanikiwa kuandika historia mpya kwenye Kombe la Shirikisho baada ya kuweza kufuzu hatua ya makundi. Kwenye mchezo wa leo uliochezwa Uwanja wa Heroes,Zambia dakika 90 zimekamilika kwa ubao kusoma Red Arrows 2-1 Simba ambapo bao la Simba lilipachikwa na kiungo mzawa Hassan Dilunga….

Read More