Skip to content
Sunday, June 14, 2026
  • Brazil na Morocco Kukutana Katika Mchezo wa Kusisimua wa Kundi C
  • Marekani Yafungua Kombe la Dunia Nyumbani Kwa Kishindo, Yaichapa Paraguay 4-1
  • Meridianbet Yatoa TZS Milioni 100 Kwa Mashabiki wa Kombe la Dunia
  • Canada Yaanza Kombe la Dunia kwa Sare ya Kusisimua dhidi ya Bosnia

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports

  • 2023
  • February
  • 22
  • KMC 0-1 YANGA, LIGI KUU BARA
  • Sports

KMC 0-1 YANGA, LIGI KUU BARA

Saleh3 years ago01 mins

DAKIKA 45 zimekamilika na ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma KMC 0-1 Yanga ikiwa ni mchezo wa ligi.

Kazi kubwa imefanyika kwa timu zote kusaka ushindi ambapo ni Yanga walikuwa wa kwanza kuwatungua KMC.

Bao la uongozi limejazwa kimiani na Clement Mzize ambaye alimalizia pigo la kona lililomshinda mlinda mlango David Kissu.

Post navigation

Previous: HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA KMC
Next: RUVU SHOOTING INAPAMBANA KUREJEA KWENYE UBORA

Related News

Brazil na Morocco Kukutana Katika Mchezo wa Kusisimua wa Kundi C

Saleh12 hours ago 0

Marekani Yafungua Kombe la Dunia Nyumbani Kwa Kishindo, Yaichapa Paraguay 4-1

Saleh16 hours ago 0

Meridianbet Yatoa TZS Milioni 100 Kwa Mashabiki wa Kombe la Dunia

Saleh20 hours ago16 hours ago 0

Canada Yaanza Kombe la Dunia kwa Sare ya Kusisimua dhidi ya Bosnia

Saleh20 hours ago16 hours ago 0
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.