
MR BLUE NI KABISA MKALI
UKIZUNGUMZIA Bongo Fleva kuna majina mengi yanapita yamefanya mapinduzi makubwa ikiwa ni pamoja na Sugu ambaye huyu ni muziki wa Hip Hop kiujumla alileta mageuzi makubwa ukiigusa ile ngoma ya Miaka 18 anasema ilikuwa ni stori ya kweli akaituma kwa jamii kupitia nyimbo. Legend Dully Sykes huyu alileta mtindo wa Mwanasesere kisha Bongo Fleva ikaanza…