
KAKOLANYA NI SHUJAA DK 540
KIPA namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya kwa msimu wa 2021/22 amekaa langoni kwenye mechi 9 za ligi ambapo aliweza kufungwa kwenye mechi tatu. Tupo naye kwenye mwendo wa data kuangalia kile ambacho alikifanya katika kutimiza majukumu yake namna hii:- Dk 540 za ushujaa Kwenye mechi 6,Kakolanya alikuwa shujaa kwa kuweka lango salama ambapo hakuweza…