HAWA HAPA WAMEBEBSHWA KAZI NA KOCHA SIMBA

KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazil, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amewaambia wachezaji wake wapya kuwa sasa ni muda wao muafaka wa kuonyesha thamani yao katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba inatarajiwa kuanzia ugenini nchini Zambia dhidi ya Power Dynamos katika hatua ya pili ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika mchezo utakaopigwa Septemba 15, mwaka huu. Kikosi…

Read More

LIGI KUU BARA: IHEFU 1-1 YANGA

UBAO wa Uwanja wa Highland Estate katika dakika 45 za mwanzo umekuwa ni sawa kwa timu zote mbil. Ni Ihefu 1-1 Yanga wababe hawa wakiwa kwenye msako wa pointi tatu. Lenny Kisu amefunga bao la kwanza dhidi ya Yanga dakika ya 40 kwa msimu wa 2023/24 kwa kuwa ilikuwa bado haijafungwa. Ni Pacome Zouzoua kapachika…

Read More

ANZA MWAKA KIBABE PATA MAOKOTO LEO NA MERIDIANBET

Kupitia michuano ya kombe la FA nchini Uingereza leo maokoto yatakua nje nje kwani itakwenda kupigwa michezo mbalimbali itakayopigwa katika viwanja tofauti tofauti ambayo itatoa fursa ya kuokota na Meridianbet. Michezo yote ambayo itakwenda kupigwa leo imepewa ODDS KUBWA na za kibabe ambapo ni fursa kwa mteja wa Meridianbet kuweza kudungua mwaka wake kibabe kabisa….

Read More

SABABU YA SURE BOY KUIKOSA REAL BAMAKO IPO HIVI

VIONGOZI wa Klabu ya Yanga ikiwa ni pamoja na Rais Injnia Hersi Said leo Machi 7,2023 leo mchana walishiriki kwenye mazishi ya kumuaga mtoto wa mchezaji Salum Abubakar, Magomeni, Dar es Salaam. Pia Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi naye alikuwa miongoni mwa waliohudhuria. Kwa mujibu wa Nabi, kiungo huyo hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachopambana…

Read More

WAKALI WA PASI ZA MWISHO BONGO HAWA HAPA

KWENYE mitupio ya mabao ambao hutazamwa kwa ukaribu yule mtu wa mwisho kutokana na kazi anayofanya ndani ya uwanja katika kutupia. Ipo wazi kwamba mabingwa wa ligi msimu wa 2022/23 ni Yanga ambao wametwaa ubingwa huo wakiwa na pointi 74. Yanga ina mechi mbili mkononi za kukamilisha mzunguko wa pili. Haitokei bahati mbaya ngoma ikazama…

Read More

SIMBA:VIPERS HATOKI SALAMA KWA MKAPA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mashabiki ni muhimu kwenye mchezo wao dhidi ya Vipers ambao ni Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba ina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Vipers unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally amesema kuwa kila mtu atatimiza wajibu wake kupata ushindi…

Read More

YANGA MBELE YA JKT TANZANIA REKODI HIZI HAPA

CHINI ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, Yanga walikomba pointi tatu mazima baada ya ubao wa Uwanja wa Azam Complex kusoma Yanga 2-0 JKT Tanzania. Hapa tunakuletea baadhi ya rekodi za wachezaji wa timu zote mbili namna hii:- DJIGUI DIARRA Kipa namba moja wa Yanga mchezo wake wa sita mfululizo ambazo ni dakika 540 amekaa langoni…

Read More

AZAM FC:TUNA PRESHA KUBWA KWENYE LIGI

JOHN Matambala, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa wana presha kubwa kwenye ligi pamoja na mechi ambazo wanazicheza kwenye Ligi Kuu Bara. Leo Machi Mosi,2022 Azam FC itawakaribisha Coastal Union kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza walipokutana Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, ubao ulisoma Coastal…

Read More

MASHUJAA SIO KINYONGE WATUMA UJUMBE SIMBA

WAPINZANI wa Simba kwenye mchezo wa leo Uwanja wa Lake Tanganyika, Mashujaa wamegomea unyonge mbele ya Mnyama kwa kubainisha kwamba wamefanya maandalizi mazuri kuwakabili. Ipo wazi kwamba baada ya kumaliza ngwe ya kimataifa Simba ikigotea hatua ya robo fainali ina kazi kwenye mashindano ya ndani ambayo ni Ligi Kuu Bara pamoja na CRDB Federation Cup….

Read More

BAADA YA KUFUNGIWA MANARA AFUNGUKA

OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara amepewa adhabu ya kufungiwa miaka miwili leo Julai 21. Adhabu hiyo imetokana na makosa ambayo amekutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania. Mbali na kufungiwa miaka miwili pia Manara amepewa adhabu ya kutoa faini ya shilingi milioni 20. Baada ya adhabu hiyo,Haji Manara ametoa kauli…

Read More