Home Sports LIGI KUU BARA: IHEFU 1-1 YANGA

LIGI KUU BARA: IHEFU 1-1 YANGA

UBAO wa Uwanja wa Highland Estate katika dakika 45 za mwanzo umekuwa ni sawa kwa timu zote mbil.

Ni Ihefu 1-1 Yanga wababe hawa wakiwa kwenye msako wa pointi tatu.

Lenny Kisu amefunga bao la kwanza dhidi ya Yanga dakika ya 40 kwa msimu wa 2023/24 kwa kuwa ilikuwa bado haijafungwa.

Ni Pacome Zouzoua kapachika bao la Kwanza dakika ya tatu.

Previous articleDeuces Wild Pesa kama Zote!! Nafasi ya kuwa tajiri unayo mikononi mwako
Next articleBANGALA MAJANGA AZAM FC