
MWEDNO WA RUVU NI WA KINYONGA
MWENDO wa Ruvu Shooting kwa msimu wa 2022/23 hakika ni wa kinyonga kutokana na kushindwa kuwa kwenye ule ubora wao wa kupapasa. Kwenye msimamo ipo nafasi ya 15 imekusanya pointi 20 baada ya kucheza mechi 25. Ukuta wao umeruhusu kutunguliwa mabao 30 huku ile safu yao ya ushambuliaji ikitupia mabao 16. Timu hiyo imepoteza jumla…