
AZAM FC YAZIPIGIA HESABU POINTI ZA KAGERA SUGAR
WAKATI Desemba 9,2021 huu Azam FC ikitarajiwa kuwa mwenyeji wa Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex Dar,nyota wa kikosi hicho kwenye upande wa utupiaji ameweka wazi kuwa wanahitaji pointi tatu muhimu. Idriss Mbombo,yeye ni mshambuliaji amesema amejipanga kuwamaliza Kagera Sugar kwenye mchezo huo ili kuipa timu yake alama…