
LIVERPOOL WAPINDUA MEZA NYUMBANI
WAKIWA Anflield wamebakiza pointi tatu mazima kwa USHINDI dhidi ya Luton Town mchezo wa Premier League. Wababe hao walipindua meza kibabe wakiwa nyumbani na kukomba pointi tatu mazima. Ni Chiedozie Ogbene alianza kufunga dakika ya 12 lilidumu mpaka wanakwenda mapumziko. Dakika ya 56 beki Virgil van Dijk aliweka usawa, Cody Gakpo aliongeza bao la pili…