
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kimeendelea na mazoezi kwa ajili ya kuivutia kasi Red Arrows katika mchezo wao wa kimataifa. Ni Novemba 28 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa ambapo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote kusaka ushindi ndani ya dakika 90. Simba imeangukia hatua ya Kombe la…
IMEELEZWA kuwa Klabu ya Manchester United inamtaka Kocha Zinedine Zidane raia wa Ufaransa kutua klabu hapo kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho kufuatia kufungashiwa virago kwa Ole Gunar Solskjaer lakini kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na kocha huyo wa zamani wa Real Madrid, amesema hana mpango wa kwenda Old Trafford. Solskjaer alitimuliwa na…
KAMPUNI ya GSM leo Novemba 23 imeingia mkataba wa udhamini wa miaka miwili na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF). Mkataba huo unathamani ya bilioni mbili pointi moja,(2.1) ambao ni wa muda wa miaka miwili kwa ajili ya kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara. Kwa mujibu wa Injinia Hersi Said ambaye ni Mkurugenzi wa Masuala ya Uwekezaji…
BAADA ya Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo,(CAS) kutoa maamuzi kuhusu kesi ya kiungo Bernard Morrison ambaye ilikuwa ni utata kuhusu mkataba wake na mabosi wake wa zamani Yanga mchezaji huyo ameandika ujumbe wa kushukuru. Jana Novemba 22 CAS ilitoa hukumu kwa kueleza kuwa imetupilia mbali rufaa ya kesi iliyokatwa na Yanga kuhusu dili la mkataba…
KOCHA Mkuu wa Simba, Mhispania, Pablo Franco, hakuweza kumtumia kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu kwenye mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu Bara kutokana na kusumbuliwa na majeraha. Mchezo wake wa kwanza kukaa benchi mbele ya Ruvu Shooting alishuhudia timu yake ikishinda mabao 3-1 ikiwa ni ushindi mkubwa kwa Simba msimu wa 2021/22. Alifanya kazi kwa kushirikiana na…
Wiki hii tunarejea kwenye muendelezo wa michezo ya Ligi ya Mabingwa na Europa barani Ulaya. Ni burudani ya soka ngazi ya vilabu kwa miezi 3 mfululizo! Mambo yapo hivi; Manchester United kuanza maisha mapya bila ya Ole Gunnar Solskjaer baada ya kocha huyo kuondolewa klabuni hapo. United watasafiri kuwafuata Villarreal katika mchezo wa 5…
SIMULIZI ya kuhusu aliyepotea kwa muda usiojulikana kisa fedha:- Alhamisi moja kunako mwaka wa 2002, nilipokuwa nafanya kazi ya kuungaunga katika kampuni moja ambapo ilinilazimu kuamka mapema sana ili kuhakikisha kwamba nawahi stendi ambapo wafanyikazi walichakuliwa watakaopata kibarua siku ile. Siku yenyewe ilikucha kwa mbwembwe kwelikweli kiasi cha kuonekana yenye nyota njema.Katika harakati zangu za…
AZAM FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina baada ya kucheza mechi 6 za Ligi Kuu Bara imekusanya pointi 7 msimu wa 2021/22. Ipo nafasi ya 10 na imetupia mabao matano huku ikiwa imeruhusu mabao ya kufungwa 7. Haijawa kwenye mwendo mzuri kwa mechi hizi za mwanzo kwa kile ambacho kimeelezwa kuwa ni kushindwa kutumia…
WINGA matata ndani ya kikosi cha Liverpool, Sadio Mane imeripotiwa kwamba anataka mshahara kama anaopewa mshambuliaji matata ndani ya kikosi hicho Mohamed Salah. Kiwango cha Mane msimu huu wa 2021/22 kimezidi kuwa imara akiwa ametupia mabao saba kwenye mechi 12 ambazo amecheza mpaka sasa ndani ya Ligi Kuu England. Mkwanja ambao anakuja kwa wiki Salah…
MSHAMBULIAJI Fiston Mayele raia wa DR Congo mali ya Yanga ambao ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 16 baada ya kucheza mechi sita na kufunga jumla ya mabao 10 amehusika kwenye mabao matatu . Nyota huyo ambaye ni chaguo la kwanza kwa Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi amefunga mabao mawili na kutoa pasi moja…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa umepokea taarifa kuhusu shauri la kesi ya mchezaji wao wa zamani Bernard Morrison na kubainisha kwamba maamuzi ya CAS wameyapokea ila hayapo upande wao. Pia Yanga wamewaomba mashabiki wa timu hiyo kusonga mbele na kuangalia mambo ya muhimu.
KIUNGO wa Simba, Bernard Morrison imeelezzwa kuwa ameshinda kesi iliyopelekwa na Klabu ya Yanga katika Mahakama ya usuluhishi wa Michezo (CAS). Yanga walipeleka kesi hiyo CAS baada ya kutoridhishwa na maamuzi ya Kamati ya Haki na Maadili na Hadhi ya Wachezaji ambayo ilitoa hukumu kuwa mkataba wa Yanga na Morrison ulikuwa na mapungufu hivyo ikaruhusu…
RAUNDI ya sita ilikuwa ni moto kila kona ambapo ulipigwa mpira mkubwa huku kila timu zikipambana kusepa na pointi tatu. Kwenye mechi nane jumla ya magoli yamefungwa 22 na mechi mbili zimetoa mabao mengi ilikuwa ni Ruvu Shooting 1-3 Simba na Mbeya City 3-1-dhidi ya Mtibwa Sugar jumla yamepatikana mabao manne Mechi ya mashuti mengi…
MKAZI wa Bukoba wilaya ya Muleba Juhudy Stewaty (21) ameibuka mshindi wa Jackpot Bonus baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 na kujishindia kiasi cha shilingi 11,049,185. Akizungumzia ushindi wake Juhudy amesema “Ninafuraha kubwa sana kuibuka mshindi kwani kupitia pesa hii itanisaidia kwenye mambo mbalimbali. “Nilianza kucheza na SportPesa tangu mwaka 2018…
NAMNA alivyoweza kupona ugonjwa uliokuwa ukimsumbua Nilipoanza kuona dalili za kukosa kupata hewa ya kutosha kwenye mapafu yangu, nilidhani yakuwa ni homa ya kawaida ambayo ingeisha muda mfupi baadaye hivyo basi, sikuchukulia maanani kuenda hospitali kuweza kuangaliwa na madaktari na kuwezeshwa kupata matibabu. Mwezi mmoja baadaye, uchungu huo haukupungua bali uliongezeka kwa kiwango kikubwa, nilizidiwa…