
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi.
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi.
OFFICIAL: Klabu ya Yanga Sc imekamilisha usajili wa mlinzi wa kati Ibrahim Bacca akitokea KMKM ya Zanzibar.
RASMI sasa Clatous Chama ni mali ya Simba akitokea Klabu ya RS Berkane ambapo alikuwa huko akikipiga. Aliibuka msimu wa 2021/22 akitokea Simba lakini kwenye mkataba wake mpya kulikuwa na suala la kurejea ndani ya timu hiyo ikiwa kutakuwa na makubaliano ya pande zote mbili. Unakuwa ni usajili wa kwanza kutangazwa rasmi na Simba katika…
Mashindano ya AFCON yanaendelea kushika kasi viwanjani. Kule barani Ulaya, EPL na Serie A nako mambo ni moto. Wikiendi hii, mchongo wa Odds Bora upo hivi; Ijumaa hii, Gabon watachuana na Ghana katika mchezo wa pili hatua ya makundi kunako AFCON. Huku Pierre-Emerick Aubameyang, kule ni Saidio Mane. Mdhamini shujaa wako kwa Odds ya…
KLABU ya Yanga imemtambulisha rasmi nyota Ibrahim Bacca kuwa ni njano na kijani kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu wa 2021/22. Nyota huyo wa zamani wa KMKM,Malindi na Taifa Jang’ombe sasa atakuwa ndani ya Ligi Kuu Bara chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Anaungana na Salim Aboubakhari, ‘Sure Boy’,Dennis Nkane,Aboutwalib Mshery ambao ni nyota…
KIKOSI cha Geita Gold kimeshatia timu makao makuu ya nchi Dodoma kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho Januari 15 Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Geita Gold ni miongoni mwa timu ambazo zimepanda ligi msimu huu na imeweza kufanya usajili wa nyota…
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
NGOMA kwa sasa ni mapumziko mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Azam FC dhidi ya Simba, Uwanja wa Amaan. Dakika 45 zimekamilika kwa timu zote kukamilisha ngwe ya kwanza bila kuweza kufungana. Ni bonge moja ya mchezo umechezwa Uwanja wa Amaan ambapo timu zote zinaonesha kwamba zinasaka Kombe la Mapinduzi. Hakuna kadi…
MADOAMADOA yote yaliyojificha yatajulikana leo kutokana na balaa ambalo limejificha kwa nyota hawa ambao wanapewa nafasi ya kuweza kukinukisha katika fainaliya Kombe la Mapinduzi. Hapa Spoti Xtra inakuletea nyota wa Simba na Azam FC ambao wanatarajiwa kusaka mbabe atakayesepa na taji lililokuwa linatetewa na Yanga namna hii:- Aishi Manula Kipa namba moja wa Simba anapewa…
Kikosi cha Azam FC kitakachoanza leo dhidi ya Simba,mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Azam FC mchezo wa Fainali Kombe la Mapinduzi
MADOA MADOA yote yaliyojificha yatajulikana leo kutokana na balaa ambalo linakwenda kufanywa na nyota hawa ambao wanapewa nafasi ya kukinukisha katika fainali ya Kombe la Mapinduzi. Hapa Spoti Xtra linakuletea nyota wa Simba na Azam FC ambao wanatarajiwa kusaka mbabe atakayesepa na taji hilokatika fainali itakayochezwa kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. SIMBA SCAishi ManulaNi kipa…
MOHAMED Salah amesema hatma yake ndani ya Liverpool iko mikononi mwaka bodi ya klabu hiyo, ila yeye anapenda kuendelea kubaki Anfield. Ishu ya Salah kusaini mkataba mpya ndani ya Liverpool imekuwa ikizungumzwa tangu mwaka jana lakini hakuna muafaka uliofikiwa mpaka sasa. Salah anatarajiwa kumaliza mkataba wake ndani ya miezi 18 ijayo katika klabu hiyo na…
KUFUATIA mwenendo mzuri wa usajili waunaofanywaDTB, mwenyekiti wa klabu hiyo, Ibrahim Mirambo amejigambakuwa, wamepania zaidi kuhakikisha wanamsajilimchezaji yeyote hata awe chaguo la Simba au Yanga. DTB ndiyo vinara wa Championship ambapo hadi sasa wanaongoza msimamo wa ligi hiyo wakiwa na pointi 36,walizozivuna kwenye michezo 14. Akizungumza na Spoti Xtra, Mirambo ameweka wazi kuwa:“Bado tunafanya usajili,…
ZIKIWA zimebaki siku mbili kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa, KMC FC kupitia ofisa habari wake, ChristinaMwagala wameweka wazi mchakato wao wa usajili. Dirisha dogo la usajili lilifunguliwa Desemba 16, 2021 kwa kushirikisha timu za Ligi Kuu Bara, Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake na kutarajiwa kufungwa Januari 15, 2022. Akizungumza na…