KIMATAIFA: POWER DYNAMO 1-0 SIMBA

UKIWA ni mchezo wake wa kwanza kukaa langoni akiwa na uzi wa Simba kipa Ayoub raia wa Morocco ametunguliwa bao moja. Ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaochezwa Zambia, ukiwa na ushindani mkubwa. Bao la kuongoza kwa Power Dynamo limepachikwa dakika ya 28 mtupiaji akiwa ni Joshua Mutale. Mutale anawasumbua walinzi wa Simba wakiongozwa…

Read More

KOCHA AZAM FC AKUBALI MUZIKI WA YANGA

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Azam Abdi Hamid Moallin amekubali ubora wa kikosi cha Yanga na kuweka wazi kwamba anaandaa mbinu ili kuwakabili vinara wa Ligi Kuu Bara. Moallin amesema kuwa anatambua kwamba wameachwa kwa pointi nyingi na wapinzani hao ambao wanaongoza ligi kwa wakati huu. “Ninatambua kwamba Yanga ni timu imara na inaongoza ligi…

Read More

YANGA KAMILI KWA MECHI ZA KIMATAIFA AFRIKA KUSINI

NAHODHA msaidizi wa Yanga Dickson Job ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mechi zote za kirafiki kimataifa ambazo watacheza nchini Afrika Kusini ikiwa ni mwendelezo wa maandalizi ya msimu wa 2024/25. Ipo wazi kwamba Job ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi anaingia kwenye orodha ya mchezaji wa kwanza kufunga bao ndani ya…

Read More

MECHI ZA FA NA COPA DEL REY KUKUPA MKWANJA

Mechi mbalimbali zinaendelea na tayari ODDS KUBWA zipo tayari kwenye app ya meridianbet hivyo ingia sasa na uanze kusuka mkeka wako wa maana hapa, Unachotakiwa kufanya ni kuweka dau lako na kuanza kutengeneza pesa sasa. Raundi ya 4 kombe la FA Uingereza kuendelea hii leo  Southampton dhidi ya Watford FC ambapo timu hizi zote zinatokea…

Read More

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA DODOMA JIJI

HIKI hapa kikosi cha Yanga dhidi ya Dodoma Jiji, mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Jamhuri Dodoma:- Aboutwalib Mshery Kibwana Shomari Kibabage Job Bacca Aucho Mzize Mudathir Dube Aziz Ki Pacome Akiba:-Khomein, Kassim, Nondo, Boka, Mkude, Nkane,, Sureboy, Abuya,, Farid, Shekhan Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata…

Read More

TAIFA STARS KUSUKWA UPYA KIMATAIFA

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars,Honour Janza, amesema kuwa mechi za kirafiki za kimataifa zilzio kwenye Kalenda ya FIFA zitampa mwanga wa kusuka kikosi imara kwa ajili ya ushindani.  Stars inatarajiwa kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Uganda na Libya na zitachezwa nchini Libya na tayari kikosi hicho kimeshatua nchini…

Read More

SIKU MBAYA KAZINI AZAM FC,KAGERA SUGAR

LICHA ya bao la kusawazisha ambalo lilifungwa na Idris Mbombo wa Azam FC dakika ya 18 bado pira kodi lilisepa na pointi tatu mazima. Ni kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Uhuru baada ya dakika 90 ubao umesoma KMC 2-1 Azam FC. Nyota wa KMC, Nzigamasab Styve alifunga bao la kuongoza dakika ya 15…

Read More