
WAWA AFUNGUKIA KUHUSU UBINGWA
BEKI wa kati wa Simba, Muivory Coast, Pascal Wawa, amewataka mashabiki wa timu hiyo kupunguza presha ya ubingwa wa Ligi Kuu Bara licha ya Yanga kuongoza ligi kwa pointi nyingi kwa kuwa bado ubingwa upo wazi, hauna mwenyewe. Wawa ametoa kauli hiyo Yanga ikiwa inaongoza ligi kwa pointi 48 ikifuatiwa na Simba wenye pointi 37,…