
AUCHO KAMILI KUIVAA AZAM FC
UONGOZI wa Yanga, umethibitisha kuwa, kiungo wa timu hiyo, Khalid Aucho, yupo fiti kwa asilimia 100, ambapo ameruhusiwa kujiunga na Timu ya Taifa ya Uganda, huku Yanga wakitumia hiyo kama sehemu ya kumuandaa kuivaa Azam FC. Aucho ni miongoni mwa mastaa ambao wamejumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Uganda kwa ajili ya mechi…