
USAFI WA MAZINGIRA NI JUKUMU LA KILA MWANAJAMII, MERIDIANBET NI BALOZI WA HIALI
Katika kuendeleza utamaduni wa kuishirikisha jamii inayotuzunguka, Meridianbet kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, iliandaa shughuli maalumu ya kusafisha fukwe ya Coco Beach. Coco Beach ni miongoni mwa fukwe pendwa na maarufu jijini Dar es Salaam, kwa msingi huo, ni muhimu eneo la fukwe hii kuwa safi na salama…