
NAHODHA SIMBA:TUNAZIHITAJI POINTI TATU ZA PRISONS
NAHODHA msaidizi wa Simba, Gadiel Michael amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons. Simba ikiwa nafasi ya pili na pointi 25 ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Prisons inayokwenda kwa mwendo wa pira gwaride. Ikumbukwe kwamba Simba kwenye mechi tatu za ligi ilizocheza ugenini imeambulia…