
TANZANITE KATIKA KIBARUA KIZITO LEO
LEO Februari 4,2022 timu ya taifa ya Wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Ethiopia. Hii ni mechi ya pili ya kuwania kucheza Kombe la Dunia. Katika mechi ya kwanza mjini Zanzibar wiki mbili zilizopita, Tanzanite waliibuka na ushindi wa bao 1-0. Mechi ya leo ni ushindi au…