
FARID MUSSA ANAKUJA ANAKATAA
FARID Mussa,kiungo wa Yanga ni miongoni mwa viungo ambao kuna muda wanakupa kile kilicho bora na muda mwingine anakupa kitu ambacho hujatarajia. Kwa msimu wa 2021/22 hajawa kwenye bora licha ya kupata nafasi katika mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho. Ndani ya Yanga ametoa pasi moja ya bao na hajaweza kufunga…