FEISAL ANAOMBA MCHANGO

ANAANDIKA Feisal Salum namna hii:-“Ndugu zangu Watanzania na familia yote ya soka kwa Bara na visiwani. Mimi kijana wenu ambaye kwa miaka yote nimekua na nidhamu nje na ndani ya uwanja na kwa dhati nimeitumikia Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania na Zanzibar Heros. “Utiifu wangu umekua shubiri ya maisha yangu ya…

Read More

YANGA WAFANYA KWELI YAPIGA 5G

FUNGUO ya Yanga katika ushindi wa mabao 5-0 KMC ndani ya dakika 90 ilianzia kwa Aziz KI kiungo aliyecheza kwa umakini mkubwa. Yanga inewatungua mabao hayo ilikuwa dakika ya 16 kupitia kwa beki Dickson Job aliyetupia bao lake la Kwanza msimu wa 2013/24. Aziz KI wa Yanga alitupia bao moja dakika ya 59, Konkoni ilikuwa…

Read More

SIRI YA MABAO 17 YA MPOLE HADHARANI

FRED Felix Minziro, Kocha Mkuu wa Geita Gold, amebainisha wazi sababu kubwa ya mshambuliaji George Mpole kufunga mabao 17 ni kutimiza majukumu aliyopewa. Mpole ni mzawa aliyeibuka kinara wa mabao Ligi Kuu Bara 2021/22 akimpoteza Fiston Mayele wa Yanga raia wa DR Congo mwenye mabao 16. Akizungumza na Spoti Xtra, Minziro alisema: “Tulikuwa tunahitaji pointi…

Read More

MASHINE ZA KAZI YANGA KAMILI KWA RUVU

AZIZ Ki kiungo wa Yanga ni miongoni mwa mastaa ambao wameanza mazoezi kwa ajili ya mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Jumatatu, Uwanja wa Mkapa Januari 23,2023. Yanga ni vinara wa ligi wakiwa wameweka kibindoni pointi 53 kwenye mechi 20 ambazo wamecheza wamepoteza mchezo mmoja pekee. Mbali…

Read More

SIMBA YATAMBA KUTINGA HATUA YA NUSU FAINALI

UONGOZI wa kikosi cha Simba, umetamba kuwa walikuwa tayari wamejiandaa kukutana na mpinzani yeyote kwenye Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na wanaamini wana uwezo wa kuwaondoa Orlando Pirates ya Afrika Kusini na kutinga nusu fainali ya michuano hiyo. Katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika Simba wamefuzu hatua ya robo fainali baada ya…

Read More

IHEFU HAWANA JAMBO DOGO WATOA ZAWADI YA CHRISTMAS

KABLA ya mabox kuanza kufunguliwa tayari Ihefu wameshakamilisha kutoa zawadi yao kwa mashabiki zao. Ni msimu wa sikukuu wa Christmas na Mwaka Mpya 2023 pointi tatu waliziweka kibindoni na kuwapa zawadi ya furaha mashabiki zao. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Highland Estate, Septemba 24 ulisoma Ihefu 3-1 Mtibwa Sugar. Mabao kwenye mchezo…

Read More

BOSI YANGA AWEKA WAZI KUWA MAYELE ATAFUNGA SANA

SENZO Mbatha, Mtendaji Mkuu Klabu ya Yanga ameweka wazi kuwa Fiston Mayele atafunga mabao mengi msimu huu. Mayele ni mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi hicho akiwa ametupia mabao 10 na pasi tatu za mabao. Kiongozi huyo amesema kuwa kutokana na kasi ya Mayele pamoja na mechi ambazo zipo mbele atafunga zaidi ya mabao aliyonayo…

Read More

YANGA YAANZA KWA MAJANGA TENA

KLABU ya Yanga imepigwa faini ya shilingi laki tano kwa kosa la kuwakilishwa na maofisa wanne badala ya watano katika kikao cha maandalizi ya mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Mkapa. Mkutano huo kwa mujibu wa taarifa imeeleza kuwa ulifanyika Novemba 2, Uwanja wa Mkapa. Adhabu hiyo imetolewa kwa kwa uzingativu wa kanuni ya 17,(2) na…

Read More

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA DODOMA JIJI

MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga wanatupa kete yao dhidi ya Dodoma Jiji, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuanza namna hii:- Djigui Diarra Fred Nondo Bacca Maxi Kibabage Sure Boy Mudathir Yahya Mzize Aziz KI Okra Hawa hapa wachezaji wa akiba wa Yanga Mshery, Kibwana, Farid, Aucho, Mkude, Shekhan,…

Read More

YANGA YAELEKEA ZANZIBAR, KUCHEZA LEO

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga leo wameanza safari kuelekeza Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya mechi zijazo za Ligi Kuu Bara. Kikiwa na msafara wake chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo Novemba 9 kinatarajiwa pia kuwa na kazi ya kufanya kwa kucheza mchezo wa kirafiki. Kwenye msafara huo wamekosekana nyota wao ambao…

Read More