YANGA YAFICHUA SIRI YA UBINGWA CRDB FEDERATION CUP

MIGUEL Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa ukomavu wa wachezaji wake kwa kukubali matokeo kwenye mchezo huo yaliwapa nguvu ya kuendelea kupambana mpaka mwisho wa mchezo. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa CRDB Federation Cup wakipeta mbele ya Azam FC matajiri wa Dar ambao walikuwa kwenye nafasi nzuri ya kutwaa taji hilo…

Read More

ABRAMOVICH APEWA RUKSA KUIWEKA SOKONI CHELSEA

ROMAN Abramovich na Serikali ya Uingereza imeripotiwa kwamba wamefikia makubaliano kwa ajili ya suala la mauzo ya timu ya Chelsea. Serikali inaelezwa kuwa inazingatia suala la timu hiyo kuwekwa sokoni ili kuweza kupata matokeo mazuri kwa ajili ya Chelsea. Kampuni ya Raine Group imeelezwa kuwa imepewa ruhusa ya kuendelea na mchakato wa kusaka mshindani ambaye…

Read More

KIGAMBONI NA MERIDIANBET NI DAMUDAMU

Meridianbet na Kigamboni ni damudamu kwani wamekua na ushirikiano mzuri katika matukio mbalimbali, Ndio sababu Meridianbet wamefika tena Mei 25, 2024 eneo hilo na kuigusa jamii ya watu wa Kigamboni. Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri walifika Kigamboni kwenye eneo la Mji mwema kutoa msaada wa Reflectors kwa Bodaboda wanaopatikana katika eneo hilo, Lakini pia…

Read More

TANZIA:MCHEZAJI WA SIMBA AFARIKI DUNIA

MHEZAJI wa zamani wa Klabu ya Simba Yahaya Akilimali amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 30, 2021. Mauti yamemfikia mchezaji huyo akiwa Ujiji Mkoani Kigoma.Pumzika kwa amani winga teleza Akilimali. Mchezaji ambaye alicheza naye mpira ndani ya Simba, Athuman Idd Chuji amemlilia nyota huyo kwa kusema kuwa pumzika kwa amani Yahya Akilimali.   Pumzika…

Read More

MANCHESTER UNITED WAAMBIWA NGUMU KUWA TOP 4

GARY Neville, mchambuzi wa masuala ya michezo anaamini kwamba mbio za timu yake hiyo ya zamani kutinga top 4 ni ngumu baada ya kutoshana nguvu na Leicester City,Uwanja wa Old Trafford. Bao la Kelechi Iheanacho dk 63 kwa Leicester City kisha United waliweka usawa kupitia kwa Fred dk ya  66. Kwenye msimamo United ipo nafasi…

Read More

RUDIGER KUKUNJA MKWANJA MREFU REAL MADRID

IKIWA dili lake litakamilika kujiunga na kikosi cha Real Madrid akitokea Klabu ya Chelsea basi beki Antonio Rudiger atakunja mkwanja mrefu kweli. Rudiger anatarajiwa kuondoka kwenye kikosi hicho na timu kadhaa Ulaya zinatajwa kuwania saini yake. Ambao wapo mbele kuwania saini ya mwamba huyo ni Real Madrid ambao wao wametenga kabisa kitita cha mshahara wa…

Read More

TABORA UNITED YAAMBULIA 4G KUTOKA KWA SIMBA

WENYEJI Tabora United wakiwa Uwanja wa  Ali Hassan Mwinyi wamekubali kupoteza pointi tatu mbele ya wapinzani wao Simba ndani ya dakika 90 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao ulikuwa ni kiporo. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Tabora United 0-4 Simba wakikomba pointi tatu ugenini. Mabao ya Simba yamefungwa na Pa Omary Jobe dakika…

Read More

BEKI MATATA AREJEA BARCELONA

DANI Alves beki matata mwenye mataji kibao ikiwa ni mafanikio yake makubwa kwa sasa amerejea tena ndani ya Barcelona baada ya kusepa hapo miaka mitano iliyopita ambapo aliibukia ndani ya Juventus na ikigota Januari anaanza kuvaa uzi wa Barcelona.   Ni makubaliano ya kikanuni ambayo Barcelona wamefikia kwa kuamua kumpa dili beki huyo wa makombe…

Read More