>

TENGENEZA MKWANJA KWENYE MICHEZO YA KIBABE WIKIENDI HII

Ligi Soka barani Ulaya kuendelea wikiendi hii. Unaweza kutengeneza faida kupitia Meridianbet ukichagua kubashiri kwenye EPL, LaLiga, SerieA na Championship. Odds za wikiendi hii zipo hivi;

Juventus uso kwa uso na Atalanta katika muendelezo wa Serie A. Timu zote mbili zinaendelea kujiboresha zaidi kwenye muenendo wa Ligi. Wakitoka kwenye Ligi ya Mabingwa, Juve amepoteza dhidi ya Chelsea huku Atalanta akilazimisha sare na Young Boys. Dakika 90 zitatoa matokeo gani wikiendi hii kwenye Serie A? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.20 kwa Juventus.

Kwenye LaLiga, Xavi Hernandez kuiongoza FC Barcelona kuwafuata The Yellow Submarines – Villarreal wakiwa chini ya Unai Emery. Barca wametoka kushinda mchezo wao dhidi ya Espanyol kwenye Ligi lakini kule kwenye UEFA, kazi ni nzito maradufu. Vivyo hivyo, Villarreal wanatapatapa kupata matokeo kwenye LaLiga msimu huu na UEFA wameambulia kichapo dhidi ya Man United katikati ya wiki. Yote 9, 10 ni dakika 90 uwanjani. Ifuate Odds ya 2.55 kwa Barcelona ndani ya Meridianbet.

Ni Super Sunday ndani ya EPL wikiendi hii. Chelsea kuwaalika Manchester United katika wiki ya 13 ya Ligi Soka nchini Uingereza. The Blues wapo kwenye kiwango kizuri na kikubwa wakilinganishwa na The Red Devils ambao hali si shwari. Michael Carrick ataitoaje United pale Stamford Bridge? Thomas Tuchel akiwa na majeruhi kwa baadhi ya wachezaji wake tegemezi, atapata chochote kwenye mchezo huu? Mchongo upo Meridianbet, ifuate Odds ya 1.57 kwa Chelsea.

Pale Santiago Bernabeu, Real Madrid watawaalika Sevilla katika mtanange wa kukata na shoka kwenye LaLiga Sentander. Timu zote zinananafasi ya kupata matokeo kwenye mchezo huu lakini, nani atafanikiwa kumzidi mwingine mbinu na uwezo uwanjani? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.69 kwa Madrid.

 

Usiwachukulie poa, Derby County wanajambo lao. Wayne Rooney kuingoza Derby vs QPR. Ikumbukwe, Derby ametoka kuchuana na vigogo wa ligi hiyo – amewafunga Bournemouth na kutoka sare na Fulham. Jumatatu hii, Meridianbet tunaweza kukupa faida mapema kabisa mwanzoni mwa wiki. Ifuate Odds ya 2.38 kwa QPR.

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Kubwa na Bonasi Kubwa!