AHMED:TUKIENDA AFRIKA KUSINI TUNARUDI TUKIWA NUSU FAINALI

BAADA ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Orlando Pirates kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC wamesema wanakwenda Afrika Kusini kumalizia kazi. Jumapili Aprili 17, Simba iliibuka na ushindi huo katika Uwanja wa Mkapa, Dar, Jumapili ijayo watarudiana nchini Afrika Kusini ambapo mshindi wa jumla atakwenda…

Read More

MASTAA WANNE YANGA KUIKOSA ZALAN FC, MORRISON, DJUMA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa mastaa wake wanne wanatarajia kukosekana kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Zalan FC ya Sudan Kusini. Djuma Shaban, Khalid Aucho, Bernard Morrison na Joyce Lomalisa hawa wanatarajia kuwakosa Wasudan hao. Leo Jumamosi, Uwanja wa Mkapa Yanga ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa…

Read More

SIMBA HAO ZANZIBAR

KIKOSI cha Simba leo kimeanza safari kuelekea Zanzibar kwa ajili ya mashindano ya Muungano Cup 2024. Simba haijawa kwenye mwendo mzuri ndani ya ligi baada ya kukwama kuonyesha uwezo wake wa kutumia nafasi dhidi ya Yanga ndani ya Ligi Kuu Bara. Mzunguko wa kwanza ilipoteza kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 1-5…

Read More

SIMBA KUSHUSHA MITAMBO YA KAZI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utaingia sokoni kuleta mtambo wa mabao utakaoongeza kasi kwenye idara hiyo kwa msimu wa 2023/24. Timu hiyo imegotea nafasi ya pili kwenye msimamo na vinara ni Yanga ambao wametwaa ubingwa wa ligi. Ikumbukwe kwamba Yanga walikuwa wanatetea taji hilo walilotwaa msimu uliopita 2021/22. Ipo wazi kuwa Kocha Mkuu wa…

Read More

KMC V AZAM FC YAMEFUNGWA MABAO 13

JUMLA ya mabao 13 yamefungwa kwenye mechi sita ambazo wamekutana wababe wawili KMC na Azam FC. Klabu ya Azam FC wao wametupia mabao nane, huku KMC ikifunga mabao matano kwenye mechi za ligi. Azam FC inayotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zake za nyumbani ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya KMC, Novemba…

Read More

WINGA MPYA ATUMIWA TIKETI YA NDEGE NA MABOSI YANGA

FUJO za usajili zinaendelea kwa ajili ya msimu ujao ni baada ya Yanga kumtumia tiketi ya Ndege, winga wa Klabu ya AS Maniema Union ya DR Congo, Maxi Mpia Nzengeli. Nzengeli ni kati ya wachezaji ambao walikuwepo katika mipango ya kusajiliwa na Yanga kwa ajili ya kuboresha kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24. Winga huyo…

Read More

ARSENAL NI MOTO KWELIKWELI

KASI ya Arsenal kwenye Ligi Kuu England ni moto baada ya kupindua meza kwenye mchezo dhidi ya Manchester United wakiwa nyumbani. Ubao wa Uwanja wa Emirates umesoma Arsenal 3-2 Manchester United ambao walipigiwa mpira mkubwa wakiwa ugenini. Ni Marcus Rashford alianza kufunga dakika ya 17 na lile la pili kwa United lilifungwa na Lisandro Martinez…

Read More

KIMATAIFA: POWER DYNAMO 1-0 SIMBA

UKIWA ni mchezo wake wa kwanza kukaa langoni akiwa na uzi wa Simba kipa Ayoub raia wa Morocco ametunguliwa bao moja. Ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaochezwa Zambia, ukiwa na ushindani mkubwa. Bao la kuongoza kwa Power Dynamo limepachikwa dakika ya 28 mtupiaji akiwa ni Joshua Mutale. Mutale anawasumbua walinzi wa Simba wakiongozwa…

Read More

MASTAA SITA WA SIMBA KUIKOSA RUVU SHOOTING

MASTAA sita wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco ikiwa ni pamoja na Sadio Kanoute, Pape Sakho leo Februari 16 wanatarajiwa kuukosa mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora Uwanja wa Mkapa. Kanoute na Sakho waliumia kwenye mchezo dhidi ya ASEC Mimosas ambao ulikuwa ni wa Kombe la Shirikisho na Simba iliibuka…

Read More

MWANZO WA LIGI USHINDANI MUHIMU

KAZI imeanza kwenye anga la kitaifa na kimataifa kwa kila timu kuwa kwenye majukumu yao kutimiza kile ambacho ni muhimu uwanjani. Msimu mpya unakuwa na mengi mapya kuanzia ratiba pamoja na wachezaji kuwa katika presha ya kufanya vizuri zaidi kuongeza mwendo wa kuwa bora. Sio Namungo pekee wenye presha ya kufanya vizuri bali Singida Fountain…

Read More

AZAM FC YAWAITA MASHABIKI ARUSHA

 ZAKARIA Thabit, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa mashabiki wa Azam FC wana kazi moja tu kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuweza kushuhudia burudani. Azam FC leo Mei 29 itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Coastal Union kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la…

Read More