AFCON IPO KAMA KAWAIDA
SHIRIKISHO la soka barani Afrika, (CAF) limethibitisha kuwa fainali za kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2022 zitafanyika nchini Cameroon kama ilivyokuwa imepangwa awali. Hii inafuatia wiki kadhaa za mikwara na miongozo ya UEFA na FIFA kutaka AFCON isogezwe mbele. Na sasa ni rasmi maombi hayo yamegonga mwamba na CAF chini ya Rais Patrice Motsepe…