
SIMBA YASAKA ATAKAYEMPA CHANGAMOTO TSHABALALA
MEFAHAMIKA kuwa Simba imeanza kumnyemelea beki katili wa kushoto anayekipiga ASEC Mimosas, Wonlo Coulibaly raia wa Ivory Coast. Nyota huyo ambaye alicheza kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa jijini Dar ukiwa wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba na kuchapwa mabao 3-1, inadaiwa amewavutia mabosi wa Msimbazi hivyo wanataka kufanya jambo. Beki huyo mwenye miaka 30, aliwahi kucheza TP Mazembe ya…