WAZIR JUNIOR ANA BALAA HUYO MABAO 50

MZAWA Wazir Junior anayetimiza majukumu yake ndani ya KMC wakusanya mapato ameandika rekodi yake kwa kuwa na mabao mengi ndani ya ligi.  Junior amefikisha jumla ya mabao 50 aliyofunga kwenye Ligi Kuu tangu aanze kucheza soka la kulipwa. Junior amefunga mabao huku akiwa amecheza jumla ya mechi 77 kwenye Ligi Kuu tangu akiwa na Toto…

Read More

YANGA WALIWAKIMBIZA REAL BAMAKO KWA MKAPA

UKIWEKA kando Yanga kusepa na pointi tatu mazima dhidi ya Real Bamako walitawala katika kila Idara huku wakicheza Kwa tahadhari licha ya kuwa wapo nyumbani. Mashuti waliyopiga ni 12 huku manne yakilenga lango na mawili yàkizama nyavuni watupiaji wakiwa ni Fiston Mayele dakika ya 8 na Jesus Moloko dakika ya 68. Bamako ni mashuti 11…

Read More

SIMBA YATUNGULIWA KOCHA MPYA AKISHUHUDIA

KOCHA Mkuu, Juma Mgunda akiwa amefanya mabadiliko makubwa kikosi cha kwanza kwa kumuazisha Beno Kakolanya langoni huku nahodha akiwa ni Gadiel Michael alionja joto ya jiwe.   Baada ya dakika 90 kukamilika Simba ambao ni mabingwa watetezi ubao ulisoma Simba 0-1Mlandege. Bao pekee la ushindi lilifungwa na Abubakar Mwadin dakika ya 75 ya mchezo huo…

Read More

AZAM FC WANA BALAA HAO, SIMBA TATIZO

WAKATI ikiwa ni saa kadhaa zinahesabika kufika mchezo wa Mzizima Dabi, Uwanja w Mkapa, rekodi zinaonyesha kuwa Azam FC wana balaa kwenye eneo la ushambuliaji kutokana na kasi yao kuwa hivyo. Msimu wa 2023/24 haujawa bora kwa Simba katika eneo la ushambuliaji kutokana na aina ya washambuliaji waliopo kukosa nafasi wanazozipata kwenye mechi zao. Kinara…

Read More

BEKI KATILI AFUNGUKA KUTUA SIMBA

BEKI wa zamani wa Chipa United, Frederic Nsabiyumva raia wa Burundi ‘Beki Katili’ ameweka wazi kwa kusema ataweka wazi ujio wake ndani ya Simba baada ya kukamilisha kila kitu kwa kuwa mambo yake anapenda kuyafanya kwa usiri mkubwa. Nsabiyumva ambaye aliachwa na Chipa United ya Afrika Kusini, kwa sasa bado anafanya mazoezi na timu ya…

Read More

HUKU NDIKO AMEIBUKIA FEI TOTO

2023 kiungo wa mpira mwenye mkataba na Yanga mpaka 2024 umemkutia akiwa ndani ya Dubai ambapo amekwenda kwa ajili ya majukumu yake. Nyota huyo mwenye mabao sita na pasi mbili za mabao amekuwa kwenye mvutano na mabosi wa timu yake kuhusu mkataba wake. Fei mwenyewe amewaaga mashabiki na kuwashukuru viongozi kwa muda ambao ametumika ndani…

Read More

DANADANA ZA LAVIA ZIMEGOTA MWISHO, LIVERPOOL NDO BASI

BAADA ya danadana za kutosha, hatimaye Chelsea imekamilisha usajili wa kiungo rasta, Romeo Lavia kutoka Southampton. Kiungo huyo kinda ambaye timu yake ya Southampton ilishuka daraja msimu uliopita alikuwa akitakiwa kwa ukaribu zaidi na Liverpool lakini akachagua Chelsea ambayo amejiunga nayo kwa ada ya pauni mil 53 kukiwa na nyongeza ya pauni mil 5. Lavia…

Read More

VIDEO:SHABIKI YANGA AMFUNGUKIA MOSES PHIRI

SHABIKI wa Yanga amesema kuwa Fiston Mayele angepata nafasi ya kucheza dhidi ya Big Bullets angewafunga mabao mengi, amebainisha kuwa Yanga ni timu kubwa huku akibainisha kuwa mshambuliaji wa Simba, Moses Phiri ni moja ya washambuliaji wazuri huku mzungu wa Simba akiwa ni wakawaida kwani hata Zawad Mauya huwa anafanya hivyo

Read More

AZAM FC HAWANA HOFU KUZIKABILI SIMBA NA YANGA

KALI Ongala, Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wachezaji wa timu hiyo wana uwezo mkubwa hivyo hawahitaji kupewa mambo mengi wa kuzikabili timu kongwe Bongo Simba na Yanga. Msimu wa 2022/23 timu ya kwanza kuwatungua Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda ni Azam FC ambapo iliibuka na ushindi wa bao 1-0 huku…

Read More

HUU HAPA MTAMBO WA MABAO BONGO

UWEZO wake uliojificha kwenye miguu yake unarekodi ya kubadili upepo hata akianzia benchi huwa anakuwa bora,alifanya hivyo mara mbili mbele ya Geita Gold na Simba na mechi zote hizi aliweza kutoa pasi za mabao. Ni Tepsi Evance kiungo mshambuliaji wa Azam FC ambaye ni mzawa mwenye pasi nyingi za mwisho ambazo ni 4 na amekuwa…

Read More

MAKIPA BONGO MAKOSA YAO YANAWAADHIBU

KWENYE mechi mbili mfululizo, Mussa Mbisa kipa namba moja wa Tanzania Prisons amefanya kosa moja lililoigharimu timu kufungwa bao moja. Rekodi zinaonyesha kuwa mchezo dhidi ya Azam FC Uwanja wa Sokoine alifungwa bao moja kwa kosa la kutema mpira mtupiaji alikuwa Idd Nado dakika ya 11 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Sokoine…

Read More