
TUCHEL: JAMESN ANAHITAJI MUDA ILI AREJEE KWENYE UBORA
THOMAS Tuchel, Kocha Mkuu wa Chelsea amesema kuwa nyota wake Reece James hapaswi kujiunga na timu ya Taifa ya England kwa kuwa bado hajawa fiti hivyo akiumia tena nani ataziba pengo lake? Beki huyo wa Chelsea hakuwa sehemu ya kikosi cha Chelsea ambacho kilishinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Middlesbrough Jumamosi katika mchezo wa FA….