
KOCHA ITALIA HAJAFURAHISHWA NA MATOKEO MABAYA
ROBERTO Mancini, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Italia amesema kuwa hajafurahishwa na kutolewa katika hatua hiyo. Usiku wa kuamikia leo Timu ya Taifa ya Italia ilifungwa bao 1-0 dhidi ya North Macedonia. Bao pekee la ushindi lilipachikwa kimiani na Aleksandar Trajkovski dk 90+2 Uwanja wa Renzo Barbera. Sasa North Macedonia itacheza mchezo dhidi…