
MAYELE ALIKUWA KWENYE HESABU ZA SIMBA
IMEELEZWA kuwa mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Yanga, Fiston Mayele alikuwa kwenye hesabu za mabingwa watetezi Simba. Nyota huyo ni ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga na amekuwa kwenye mwendo mzuri wa kucheka na nyavu huku akikubalika na mashabiki wengi ikiwa ni pamoja na wale wa Simba. Mtindo wake wa kutetema umekuwa…