
BREAKING:UWANJA WA MKAPA MASHABIKI 60,000 SIMBA V ORLANDO PIRATES
SASA ni rasmi mchezo wa Simba v Orlando Pirates utakaochezwa Uwanja wa Mkapa lile jumba lote la burudani itakuwa ‘full house’ baada ya ruhusa kamili kutolewa. Taarifa rasmi iliyotolewa na Simba leo Aprili 8 imeeleza namna hii:”Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limekubali ombi letu la mashabiki 60,000 kuingia uwanjani kwenye mchezo wa robo fainali ya…