PAMBANO LA DILLIAN WHYTE NA FURRY LIMEKUFA

PAMBANO la bondia Dillian Whyte na Tyson Fury limekufa rasmi, Whyte hatocheza tena pambano lake la ubingwa wa dunia uzito wa juu dhidi ya Fury Aprili 23, mwaka huu, baada ya kupata jeraha la bega wakati akijiandaa na pambano hilo. Mapromota wa pambano hilo, Frank Warren na Bob Arum, wamethibitisha kuwa, Fury ambaye ni bingwa…

Read More

SIMBA KAZINI LEO MBELE YA COASTAL UNION,MKWAKWANI

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba leo Aprili 7 anatarajiwa kukiongoza kikosi hicho kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union. Pablo amesema kuwa anadhani ni moja ya mchezo utakaokuwa na ushindani mkubwa kutokana na timu zote kuhitaji kupata pointi tatu muhimu. ”Ninajua kwamba kila mmoja anahitaji kuona kwamba namna gani tunaweza kupata ushindi kwani…

Read More

AZAM FC YACHAPWA 2-1 YANGA

UWANJA wa Azam Complex, dakika 90 za zimekamilika na Yanga inasepa na pointi tatu muhimu ikiwa ugenini. Vinara hao wa ligi wanafikisha pointi 51 wamepindua meza kibabe baada ya kuanza wakiwa wanadaiwa bao moja kisha wakalipa na kuogeza bao lingine la ushindi. Azam FC wanapaswa wajiliamumu wenyewe kwa kuwa walikosa nafasi za wazi tatu za…

Read More

AZAM V YANGA,ACHA INYESHE IJULIKANE PANAPOVUJA

MFUMO ni uleule wa kusaka ushindi kwa timu zitakazoshuka uwanjani na hii ya leo ni Dabi ya Dar es Salaam itakayopigwa Uwanja wa Azam Complex saa 2:15 usiku. Unaambiwa acha inyeshe tuone panapovuja baada ya dakika 90 itafahamika nani ni nani kati ya Azam FC v Yanga. Timu zote zina wakali wa kucheka na nyavu…

Read More

PABLO ATWAA TUZO KWA MARA YA KWANZA

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba ametwaa tuzo ya Kocha Bora ndani ya Ligi Kuu kwa mara ya kwanza baada ya kupewa dili na Simba akichukua mikoba ya Didier Gomes. Kwa mujibu wa Kikao cha Kamati ya Tuzo ya Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) kilichokaa hivi karibuni kimetoa mapendekezo ya jina la Pablo wa Simba. Ametwaa…

Read More

MUGALU,BERNARD MORRISON KIMATAIFA NI HABARI NYINGINE

NYOTA wawili wa Simba, Bernard Morrison na Chris Mugalu kwenye mashindano ya kimataifa ni habari nyingine kwa kuwa wameweza kufanya maajabu kwenye mechi ngumu kwa kushirikiana na wachezaji wengine.  Morrison kwenye mashindano ya kimataifa kuanzia hatua ya mtoano ametumia dk 290 katupia mabao matatu na pasi mbili za mabao. Chris Mugalu yeye amecheza mechi tatu…

Read More

BOSI YANGA AWEKA WAZI KUWA MAYELE ATAFUNGA SANA

SENZO Mbatha, Mtendaji Mkuu Klabu ya Yanga ameweka wazi kuwa Fiston Mayele atafunga mabao mengi msimu huu. Mayele ni mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi hicho akiwa ametupia mabao 10 na pasi tatu za mabao. Kiongozi huyo amesema kuwa kutokana na kasi ya Mayele pamoja na mechi ambazo zipo mbele atafunga zaidi ya mabao aliyonayo…

Read More

HIZI HAPA KUKIWASHA LEO LIGI KUU ARA

NI Aprili 6 Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea ambapo mechi mbili zinatarajiwa kuchezwa kwenye viwanja viwili tofauti kwa timu kusaka pointi tatu muhimu. Uwanja wa Karume, Mara unatarajiwa kuchezwa mchezo kati ya Biashara United v Mbeya Kwanza ya kutoka Mbeya. Biashara United imekusanya pointi 19 inakutana na Mbeya Kwanza yenye pointi 14 zote zimecheza…

Read More