
POLISI TANZANIA NA MBEYA KWANZA HAKUNA MBABE
POLISI Tanzania kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya Kwanza jana Aprili 16 walitoshana nguvu na Mbeya Kwanza. Ni sare ya kufungana bao 1-1 iliweza kupatikana baada ya dk 90 kukamilika Uwanja wa Ushirika,Moshi. Langoni alianza Metacha Mnata ambaye aliokota bao moja na kwa upande wa ushambuliaji ni Daruwesh Salioko na Kassim…