
BAYERN MUNICH IMEISHA,VILLARREAL YAISUBIRI LIVERPOOL/BENFICA
VIGOGO Bayern Munich hawataacha kulikumbuka jina la Samuel Chukwueze ambaye alipachika bao lililowafungashia virago katika mchezo wa hatua ya robo fainali. Ni Robert Lewandowski mshambuliaji mahiri wa Bayern Munich alipachika bao la kuongoza dk ya 52 ila liliwekwa usawa zikiwa zimebaki dk 2 mpira kufika ukingoni. Villarreal inasonga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa…